African Hip Hop.com – Wikipedia

Africanhiphop.com ni moja kati ya wavuti mtandaoni inayoch

Africanhiphop logo
Logo ya Africanhiphop.com

ochea tamaduni za Kiafrika mijini. Wavuti inamilikiwa na DJ Jumanne ambaye aliizisha mwaka 1997. Awali ilitengenezwa kwa lengo la kuwaleta watu pamoja ambao kwa namna moja au nyingine wamevutiwa na utamaduni wa muziki wa hip hop na wa Afrika kwa ujumla ambao hadi leo hii upo. Africanhiphop.com inatoa taarifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na mahojiano, habari kemkem, DJ mix na redio za mtandaoni. Vilevile ina ukumbi wa majadiliano ambao unaunganisha watu mbalimbali duniani.

Taarifa zinazopatikana katika Africanhiphop.com zinatolewa au kuchangiwa na watu mbalimbali duniani, kuanzia Africa na kwengineko, na wakati mwingine habari hizo huchangiwa na wasanii wenyewe.

Africanhiphop.com inajiendesha yenyewe bila msaada kutoka kwa mtu yeyote. Kwa miaka mingi wamekuwa wakishirikiana na mashirika mbalimbali katika kutekeleza baadhi ya kazi. Mashirika hayo ni pamoja na Madunia Foundation, Africaserver na This Is Africa.

Mengi tazama: hapa!

Advertisements
Categories:

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s