Zilipendwa WCB – Wikipedia

“Zilipendwa” ni jina la wimbo uliotoka 25 Agosti, 2017 wa kundi zima la muziki wa kizazi kipya kutoka nchini TanzaniaWCB. Wimbo umetayarishwa na LaiZilipendwaWCBzer Classic. Huu ni wimbo wa kwanza kutolewa kama kikosi kizima cha WCB tangu kuanzishwa kwake. Vilevile wiambo unamtambulisha Malomboso wa Yamoto Band kuwa mwanachama kamili wa WCB tangu kuvunjika kwa Yamoto Band. Wimbo umetolewa masaa 12 tangu kutolewa wimbo wa Ali Kiba Seduce Me. Wimbo ulikuwa gumzo sana wakati umetoka hasa kwa kufuatia malumbano yaliyoendelea mtandaoni huku kukiwa na hisia kadhaa wa kadhaa ya kwamba kautoa wimbo huu ni jibu la Seduce Me ili kupunguza makali. Wimbo unahusu mambo kadhaa yaliyopita, watu, wanamuziki, watu mashuhuri, na vitu ambavyo vilipendwa na watu wengi hapo awali. Siku moja tu, tangu kutolewa, Matonya 2 akatoa lawama ya kwamba WCB wameiba wazo lake la wimbo ambao aliutoa yeye tarehe 5 Novemba, 2012. Matonya alitoa lake la moyoni kwamba wimbo mzima ni wazo lake na si WCB.[1][2] Vilevile kulikuwa na ushindani mkali sana wa kutazamwa sana katika idhaa ya YouTube. Wimbo ulikuwa unapishana kati ya watazamaji 500,000 hadi 800,000 huku Seduce Me ikiwa juu ya Zilipendwa. Hatimaye zikaja kupishana kiasi tu.

Mengi: tazama hapa

 

Muddyb.

Advertisements
Categories:

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s